UTOAJI WA TAARIFA ZA UKIUKWAJI WA MAADILI
Wananchi wanahimizwa kutoa taarifa zinazohusu ukiukwaji wa maadili kwa watumishi wa Mamlaka ya Mapato ili kuiwezesha Menejimenti kuchukua hatua stahiki. Taarifa zitakazotumwa zitakwenda moja kwa moja kwa Kamishna Mkuu na hazitatolewa kwa mtu au ofisi isiyohusika.
FOMU YA KUTOA TAARIFA ZA UADILIFU